KAMA KAWA JEZI ZA KIJANI GUNDU ILE ILE MIA

Wakitangulia kuwakandamiza mafarao wa masri kwa goli la kujifunga la dk 26.cameroon maarufu kama simba wasiofungika wamekubali kichapo cha magoli 3 kwa moja huku geremi njitap akitoa boko dk ya pili ya muda wa nyongeza na kuwapa waarabu hao goli la pili kabla ya refa toka afrika ya kusini kuipa goli la tatu masri na kuifanya kutinga katika nusu fainali yao ya tatu mfululizo huku wakiendelea kushikilia rekodi yao ya kucheza michezo 14 bila kupoteza kwenye michuano hii ya mataifa huru ya afrika na hivyo masri watakutana na timu iliyowanyima nafasi ya kushiriki kombe la dunia ambalo kwa mara ya kwanza ilinapigwa katika aridhi ya afrika mnamo mwezi juni timu ya Algeria.

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Postagem Anterior Próxima Postagem